Naomba ufafanuzi kuhusu upokeaji mizigo kwa kampuni ya Naparex courier company

JIBU 22

New Member
Sep 24, 2023
3
5
Nisaidieni jamani,

Nimetumiwa mzigo kutoka Londoni na kampuni la NAPAREX COURIER COMPANY. Aliyenitumia mzigo amesema amekosa kampuni ya kusafirisha mpaka Tanzania.

Hiyo kampuni inaleta mzigo East Africa.Je mzigo ukifika nafikishiwa nilipo au na ufata nisaidieni jamani sijaelewa
 
Mjomba hao matapeli
 
Don't waste your time, scam maana mwisho wa siku utaambiwa mzigo umepokelewa Kenya international airport and they need some money from you for the clearance purposes.na kama zawadi wenyewe ni hizi za laptop, iPhone 15 US dollars, clothes,and shoes my friend leave it as it is.
 
Jamani naombeni msaada, nimetumiwa mzigo kutoka uk, nimeambiwa wanaleta east afrika, inamaana wanaleta hadi mkoa uliopo?
 
Back
Top Bottom