Msaada wa kujiunga na ualimu serikali

joumer

Member
May 2, 2014
45
6
Habari za siku wana jamii?

Mmi nimesoma digrii ya sayansi ya kompyuta nina uwezo wa kufundisha physics na mathematics nataka niingie serikalini. Naomba msaada wenu jinsi ya kujiunga na shule za serikali.
 
Kwanza nenda kasome postgraduate diploma ya Education ndo utaajiliwa kama mwalimu Wa physics au computer. Kwa kifupi serikali haiwezi kukuajiri kama huna cheti cha ualimu kinachotambulika na serikali
 
Back
Top Bottom