Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

TheReferProject.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
0 Reactions
0 Replies
722 Views
HABARI WANA JAMVI. TUMEKUA TUKISIKIA WADAU MBALIMBALI WAKISEMA KUA AJIRA NYINGI HUPEWA WATU WANAOTOKA KWENYE CHUO CHA USHIRIKA KILICHOPO MOSHI 'MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND...
12 Reactions
235 Replies
31K Views
Je, ungependa nani awe warizi wa Elimu wa kasi ya rai JPM? Hebu andika jina lake hapa kwa kupendekeza tuwajue wachapakazi waadilifu wa nchi hii.
0 Reactions
52 Replies
11K Views
JIPU LA BODI YA MIKOPO LIMEWASHINDA NINYI LAKINI NAWAHAKIKISHIA KUWA SISI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TUTALITUMBUA NA KULIKAMUA WENYEWE. na SHITINDI VENANCE Hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ada za hiki chuo anayejua anijuze
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa form 6 graduate ..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wazoefu naomba ushauri, mimi sijapata ela ya fld vp nikifuatlia naweza pata?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JIPU LA BODI YA MIKOPO LIMEWASHINDA NINYI LAKINI NAWAHAKIKISHIA KUWA SISI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TUTALITUMBUA NA KULIKAMUA WENYEWE. na SHITINDI VENANCE Hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Merry Xmas wadau. Nafikiria kumpeleka mwanangu akasome Bachelor degree kwenye PUBLIC-PRIVATE PARTNERSHIP (PPP) kwenye mojawapo ya nchi hizi;- USA, UK, SOUTH AFRICA, MALAYSIA, UNITED ARAB...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni muda muafaka sasa serikali iangalie maslahi ya walimu kwa maana ya mishahara, makazi,mazingira ya kufanyia kazi na posho ya mazingira magumu hasa ukizingatia mazingira duni ya vijijini.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi kuna haja gani ya kuwapa Mikopo wanafunzi wa VYUO VIKUU? SI kujikimu au? Sasa mwanafunzi wa chuo kikuu kafanya Transfer au Declined na chuo husika ukiwa tayari kashapata mkopo kwenye chuo...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamani wahanga wenzangu continuing students tuliokosa mikopo, kwanza nashukuru kurejea tena kwenye jukwaa hili la elimu baada ya kuzuiliwa kidogo kutumia hili jukwaa, hizi zote ni jitihada zangu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello everyone!ningependa kujua tofauti kati ya B.sc in na B.sc with.mfano B.Sc in geology na B.Sc with geology. Thanks
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba mnijuze. Je, bodi ya mikopo inakopesha anayejiunga chuo kwa sifa ya equivallent? Mfano mwenye diploma ya education kwenda bachelor degree ya ed.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo ninachoishi kila kitu ni kujitegemea sina pesa nimebakiwa na elfu kumi natakiwa niwe na PC na Smartphone. Home kwetu masikini.
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Mtazamo wa mtu usipingwe kwa kumtukana mtu humu ndani bali upingwe kwa HOJA!, isiwe sababu unatumia jina ambalo sio sahihi ndo ukatumia mwanya wa kumtukana mwenzio plz kama wewe unahisi alichoo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji kazi ya kufundisha kwenye college part time kwenye nyanja za ict na business niko na experience na passion na kufundisha. Mwenye uhitaji anipm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swala la mikopo kwa elimu ya juu tayari limeshugulikiwa, wanafunzi wote wameingiziwa mikopo Tunakushukuru Magufuli na serikali yako sikivu.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi elimu kuwa bure, Je waalimu wanafaidika pia na hilo au ni shavu kwa waalimu wakuu tu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Au sitaweza pata mkopo tena hadi namaliza kozi nzima?
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom