juliano norman
Member
- Dec 17, 2015
- 41
- 4
mie ni kijana ambae mwenye umri wa miaka 24 na nilibahatika kurudia mtihani wa kidato cha nne na kupata c,c,b,d,d wakati nawaza kuendelea na elimu ya kidato cha 5 baba angu mzazi alifariki na kuniacha mimi na ndugu zangu wawili,baada ya kutokwa na baba nkawaza niombe chuo cha ualimu hivyo naombeni ushauri hizi alama nilizopata mie naweza kujiunga na chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu kwani nahitaji niwasaidie ndugu zangu lakini uwezo sina.