Elimu kati ya elimu na maisha kipi kinaanza iwe formal au informal

ZaBeast

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
777
331
Salaam wakuu, habari za likizo, poleni na majukumu mliyokuwa nayo katika kila sehemu unayohusika....

Mapambano lazima yaendeleee hata palipo na ugumu... kwani ugumu ndiyo chachu ya uelewa wa mambo waliostaaribika zamani wakamtambua binadamu wanasemaga "it is hard until it is done"

Baada ya salaam naomba niulize mnisaidie hii kitu huwa nafikiri saaana...
Naomba maoni yenu ninaipenda forum hii sababu ipo na watu "elite" saana ingawa msafara wa mamba kenge nao wamo si mbaya...

Swali:- "kati ya elimu na maisha kipi kinaanza"

Labda kama swali halijakaa vizuri naomba kurekebishwa ama kuulizwa zaidi ili ni rectify. .


Asanteni!
 
Back
Top Bottom