Natafuta vocational skills training school

Bwojo

Member
Jul 30, 2015
16
2
nDUGU;
Nina kijana wangu ni slow learner amemaliza darasa la saba.Mwenye kujua chuo au shule zinazopokea vijana wa jinsi hiyo anajulishe.

Bwj:lock1:
 
Mtafutie Veta najua hao jamaa wapo vizur ataenjoy. Elimu si lazima iwe secondary tu
 
Back
Top Bottom