Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

PASCHAL'S SON

Member
Oct 27, 2015
29
3
Kuna tatizo linanisumbua sana, nimeappeal mkopo wangu, nimechunguza sehemu zote zimejazwa vzr, cha kushangaza zaidi nikiangalia application status ninaambiwa INCOMPLETE! Tatizo ni nini wakurugenzi? Nahitaji msaada wenu.
 
hilo tatizo sio lako tu.. ni kila mtu aliyefanya appeal limnamkuta... nadhani tatizo liko kwenye system yao....tatizo nchi yetu hii ubabaishaji mwingi yaani...gvt workers are not responsible katika majukumu yao... yani mpaka leo hakuna suluhisho wakati system imefunguliwa juzi....inaudhi kwa kweli...
 
Ngoja tusubiri labda suala hili litapata muafaka. Tuzidi kumwomba Mungu
 
Back
Top Bottom