Tamko la Serikali Kuhusu Malalamiko Dhidi ya Matokeo ya Somo la Islamic Knowledge Katika Mtihani wa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la Serikali Kuhusu Malalamiko Dhidi ya Matokeo ya Somo la Islamic Knowledge Katika Mtihani wa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MashaJF, Jun 8, 2012.

 1. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Leadership ni kitu kigumu sana. Dr. Kawamba anajua hilo na namshukuru kwa kuamua kuwa fair badala ya kuchukua upande bila kutenda haki.
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ofkozi,,,,,,
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mbwembwe na makuu vimeanza. Radhi nayo inaongeza maksi ngapi?

  Mi naona lilikouwa la msingi limefanyiaka, MAKSI zilikuwa muhimu zaidi ya haya mapya
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Naamini ingekuwa ni uungwana zaidi kuomba radhi kwa makosa waliyoyafanya. Ni kweli kuomba radhi hakutaongeza maksi. Ni kama vile kumpa mtu pole kwa matatizo mara zote pole hiyo haipunguzi machungu ya matatizo lakini ndio 'uungwana'! Ni vitu vidogo lakini vina maana kubwa tu kwa mwanadamu.
   
 8. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kimsingi, Baraza la mitihani linaonekana kuwa na udhaifu; Napendekeza Mkuu wa mifumo ya kompyuta ambayo inahusika na matokeo afukuzwe kazi, msimamizi mkuu wa suala la matokeo ya mitihani pia afukuzwe kazi, yaani mkuu wa idara ya matokeo. Kimsingi wanapaswa kufanya system audit kabla ya kuanza kuitumia na baada ya kutoa matokeo kabla ya kuyamwaga hadharani.

  Serikali pia iombe radhi kwa yaliyotokea maana ni senstive sana. Sio tu ufafanuzi wa hatua zilizochukuliwa japo hatua ziko mwake.

  Mama ndalichako apewe onyo; kwa kutimiza suala la uwajibikaji.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,069
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Niwaambieni tu hili swala haliko ki-bahati mbaya kama mnavyofikiri.

  Staff aliefanya huu uhuni kwa sasa anajiandaa kuondoka pale kwa gia ya kwenda kusoma.

  Barua yake ya kuacha kazi ameshaindika na kukabidhi kwa wahusika.

  Hapa inaleta picha kua labda alijua anaondoka ndio akaamua kufanya uhuni,

  Au baada ya kugundulika uhuni wake ameona aibu ndio anaondoka, au anakwepa soo kuepuka kufukuzwa.

  Ni mtu ambae anajulikana pale Necta (Jina Kapuni), na habari ni kwamba kwa sasa "haziivi" na baadhi ya Staff Waislamu wa pale Necta.
   
 10. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Malalamiko haya yanakuja wakati Raisi ni muislamu na waziri wa elimu ni muislamu. Itakuwaje pale watakapokuwa wa dini nyingine? Tuache kulalamika hovyo hovyo wakati tunajua wazi kuwa kuna hali ya kutokuwa na bidii ya shule kwa sehemu kubwa ya waislamu. Tatizo sio usahihishwaji wa mitihani au kutokuwa na akili kwa waislamu, bali ni kasumba iliyojikita ndani ya wengi wa waislamu ya kukosa wa bidii shuleni. Tunachotakiwa ni kuomba utafiti ufanyike kujua tatizo ni nini ili litafutiwe ufumbuzi badala ya kulia-lia kuwa kuna uonevu.
   
 11. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wataomba radhi wangapi?! wa mwaka uliopita nao wakitaka matokeo yao yachunguzwe? na kabla ya hapo? na kabla ambao sasa wameishia kutumia madawa ya kulevya, wizi, uchangudoa n.k.
  Nionavyo mimi hili la kuomba radhi wamelibania kwa makusudi ili kupunguza acceleration ya hili jambo.
  ......it hurts!
   
 12. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Hivi, kama ya waislam yanaonekana kuleta utata wa wazi, hayo mengine tuna uhakika gani kama yako sawa? Inabidi uchunguzi ufanyike vyema. Na inawezekana watoto wanafelishwa makusudi na hii ni pamoja na kina Mwanaasha.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hawajafanya hivyo? wanapaswa kuwaomba radhi wanafunzi wote waliofanya mtihani wa somo hilo,uzembe kama huu ni lazma serikali iwajibike
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kaaazi KweliKweli....
   
 15. l

  logician mkuu JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2015
  Joined: Jun 2, 2014
  Messages: 795
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tamko lenyewe la Waziri Kawambwa hili hapa

  [​IMG]
   
 16. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2015
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Does it make the difference?
   
Loading...