Msaada: Shule nzuri ya sekondari Morogoro, Iringa au Mbeya

Msaada: Shule nzuri ya sekondari Morogoro, Iringa au Mbeya

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habarini wanajamvi

Nina shida, namtafutia mdogo wangu shule ya sekondari ya private nzuri nimuhamishie. Mdogo wangu alikuwa seminary ameshindwa kufikia wastani wa 50 na amepata 45 so wamekataa aendelee. Please nisaidieni, anatakiwa aendelee form 3.

Shule isiwe hapa Dar, iwe Moro, Iringa au Mbeya. Nikijua na ada zao nitafurahi sana.
 
mpeleke st mar's ulete, ipo iringaaa!! ada yake cjajua kwa xx coz inabadilika xana, wakat tunaxoma cc mwaka 2009 ilikuwa laki 9
 
kuna shule ipo iringa sehem inaitwa idete itampokea tu maana hata mm.mdogo wang anasoma huko alipata tatizo kama hilo ada ya shule nafikir ni laki saba hiv kwakuwa mdogo wang kwa ss yupo likizo nitakupa namba yake umpigie muulize akuunganishe huko
 
Habarini wanajamvi

Nina shida, namtafutia mdogo wangu shule ya sekondari ya private nzuri nimuhamishie. Mdogo wangu alikuwa seminary ameshindwa kufikia wastani wa 50 na amepata 45 so wamekataa aendelee. Please nisaidieni, anatakiwa aendelee form 3.

Shule isiwe hapa Dar, iwe Moro, Iringa au Mbeya. Nikijua na ada zao nitafurahi sana.

mpeleke la Miriam, Ada elekezi ni 380000
 
Hata mimi nna tatizo hilo hilo.. Natafuta shule ya kumhamishia mdogo wangu aingie kidato cha 3 kwa mikoa tajwa hapo juu. Wadau mje mtusaidie tafadhali
 
Alfagems Morogoro ni the best na ada ni nafuu kuliko shule zote za Moro ili mradi apige msuli tu cause jamaa hawana utani ukizingua unarudi hom
 
Morogoro kuna shule nzuri sana inaitwa Buyongolola. Ada ni Tshs 40,000/=. Mwaka jana kwa kidato cha nne wanafunzi 18 walipata Distinction, wanafunzi 12 walipata Merit na mwanafunzi mmoja tu ndo alipata credit hakukuwa na pass wala zero. Chakula ni kizuri sana, kila siku wanakula mchicha na soda bila kusahau uji wa mawese na zambarau zilizosagwa.
 
kwa mbeya kuna
Pandahill sec ipo songwe
Swilla sec pia ipo mbeya
Iringa
Kidugala Lutheran seminary(njombe)
Mufingi girls
Image sec Ilula
 
Thanx much much nafanya communication na shule hizi pia
 
Morogoro kuna shule nzuri sana inaitwa Buyongolola. Ada ni Tshs 40,000/=. Mwaka jana kwa kidato cha nne wanafunzi 18 walipata Distinction, wanafunzi 12 walipata Merit na mwanafunzi mmoja tu ndo alipata credit hakukuwa na pass wala zero. Chakula ni kizuri sana, kila siku wanakula mchicha na soda bila kusahau uji wa mawese na zambarau zilizosagwa.

Mkuu nahisi umekosea kwenye ada hapo. Shule iko maeneo gani
 
Back
Top Bottom