Ushauri nataka kuacha ualimu na kwenda kusoma udaktari

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology kwa miaka minne sasa.. Nina BSc. Ed, ninafikiria kuapply Medical Doctor. na kuwa daktari huko siku za mbele badala ya kusoma Masters.. Kwa sasa nina miaka 30..

Je, unanishaurije? Ahsante..
 
wazo zuri sema inakupasa ujiandae vizur sana cuz MD ni habari nyingine
 
why usisome udaktari masomo ya jioni...nazani ualimu unatoa muda usiokubana sana...

kama huna familia na ni msela unawea jilipua tu.. ila kama una majukumu ni zaidi ya risk
 
Sijapata kusikia hyo udaktar wa jion..nna familia ndogo ila kuna mpunga wa nssf ambao naamin nikiwekeza unaweza kuendesha familia huku mi nikikomaa na shule
 
Kasome MD tena una faida kwa kuwa baadhi ya kozi bios utaenda zisoma tena, elimu yako itakuwa rahisi. P'se follow ur heart.
 
Wazo lako pengine linatokana na kutoiona "future" yako katika ualimu. Hii huwakuta watu wengi. Unauona udaktari unamalipo mazuri na unatoa muelekeo wa baadae. Dunia inabadilika sana, kuna wakati ilikuwa kusomea uhasibu ndio dili hadi wa PCB walikimbilia huko. Ila sasa kazi ni shida. Ningekushauri fanya masters ya chemistry katika chuo kizuri, ikiwezekana hata nje. Environmental na analytical chemistry kwa kuwa unabachela ya ualimu hautapatashida ya kukaa mtaani utakuwa unapakujishikiza. Ila kama unaupenda udaktari sana bado si uamuzi mbaya.
 
somea mambo ya xray mkuu pale butimba mwanza...hii koz kuna mdada alifeli advance then sijui kapatavwapi in4 kajisomea huko...aisee wilaya nzima inamsubilia asome majib ya private na gvt hospitals.....kana hela chafu.
somea special case sio general utaendelea kuona future ngumu
 
Tutakuja mpaka huko,usituchenge,tumeanza na polisi.Hamuwezi pasua kichwa badala ya miguu na miguu badala ya kichwa.Sasa ivi ili si Taifa la mazombie.Mtanyooka tu.
 
Mimi ni mwalimu wa chem na biol kwa miaka minne sasa..Nina Bsc.ed ninafikiria kuapply Medical Doctor. .na kuwa daktar huko siku za mbele badala ya kusoma masters..kwa sasa nina miaka 30..je unanishaurije, ahsante..[/QUOTE ]
Mbona walimu wa Sayansi wana future nzuri sana
 
Tutakuja mpaka huko,usituchenge,tumeanza na polisi.Hamuwezi pasua kichwa badala ya miguu na miguu badala ya kichwa.Sasa ivi ili si Taifa la mazombie.Mtanyooka tu.
Mimi si miongoni mwao..nashukuru Mungu.
 
Ualimu wa daraja la 3a unatamani usome udaktari khaa we ndugu unahitaji maombi
 
Wazo lako pengine linatokana na kutoiona "future" yako katika ualimu. Hii huwakuta watu wengi. Unauona udaktari unamalipo mazuri na unatoa muelekeo wa baadae. Dunia inabadilika sana, kuna wakati ilikuwa kusomea uhasibu ndio dili hadi wa PCB walikimbilia huko. Ila sasa kazi ni shida. Ningekushauri fanya masters ya chemistry katika chuo kizuri, ikiwezekana hata nje. Environmental na analytical chemistry kwa kuwa unabachela ya ualimu hautapatashida ya kukaa mtaani utakuwa unapakujishikiza. Ila kama unaupenda udaktari sana bado si uamuzi mbaya.
Ushauri mzuri
 
Only sky is the limit, Magufuli alikuwa kama wewe sasa hivi ni Rais, kuna jamaa amekwambia follow your heart... Hakuna linaloshindikana kwa kumuomba Mola muweza
 
somea mambo ya xray mkuu pale butimba mwanza...hii koz kuna mdada alifeli advance then sijui kapatavwapi in4 kajisomea huko...aisee wilaya nzima inamsubilia asome majib ya private na gvt hospitals.....kana hela chafu.
somea special case sio general utaendelea kuona future ngumu

kinaitwaje hiki chuo mkuu wiseboy
 
Last edited by a moderator:
Tutakuja mpaka huko,usituchenge,tumeanza na polisi.Hamuwezi pasua kichwa badala ya miguu na miguu badala ya kichwa.Sasa ivi ili si Taifa la mazombie.Mtanyooka tu.

Kumbe ni uzushi tu. Vyeti vyote ni halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom