Naombeni ushauri nilimaliza elimu ya kidato 2012 na kupata iv 28 kwa kupata d7 kati ya masomo tisa ambayo ni book keeping, commerce, history, kiswahili, civis, biology, geograph.
Je naweza somea...
NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili...
Leo wakati naangalia kipindi skonga cha EATV nimeshangaa kuona wanafunz wa secondary wakishindwa kujibu maswali ya kawaida tu na mengine hadi ni ya shule ya msingi kwa mfano mtoto wa kidato cha...
Kuna ndugu yangu kachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari pugu A-level.
Tatizo mpaka leo hatujapata fomu ya joining instruction!
Nimejaribu kufuatilia fomu hizo katika ofisi ya afisa elimu...
Habari Jf. Uongozi wa Necta umetoa mabadiliko ya alama za ufaulu kielimu kidato cha Nne na cha Sita leo Jumanne ya tar 29.12.2015 kiwe kama ifuatavyo:
A:75_100%,
B:65_74%,
C:55_64%,
D:45_54%...
Amani iwe daima nanyi..
Naomba mwenye uelewa kuhusu hiki Chuo cha diplomasia, join instruction na aina ya kozi wanazotoa pamoja na muda wa kozi na ada zao.
Nawasilisha.
FIRST DEGREE OR CEREMONY OF INITIATION
Tyler - prepares Candidate and when ready to proceed with Ceremony gives three distinct knocks. By giving the Entered Apprentice knocks with longer...
Wanajamvi,
Nimekutana na kitendo ambacho kimenifanya nijiulize kwma zana na serikali ya awamu ya Tano ya Elimu bure msingi na sekondari ni ya kweli. Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari ya...
Nauliza hivi walimu wa diploma in primary Education na wale wa diploma in secondary Education wakitaka kwenda field wanapangiwa shule za kwenda au wanachagua wao shule za kwenda kufanya field...
Hatimaye John Stanley ambaye ni mwanafunzi wa Masomo ya Uongozi, chuo kikuu cha Usafirishaji, Jana ameibuka kidedea kwa kupata ushindi mnono katika uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyikia Chuo...
Wakuu gharama zipoje kwa wanaorudia paper ya form four Mfano anaetaka kupiga paper mbili au tatu na je cheti cha mara ya kwanza na hiki inakuwaje apo vinaungwa au unakuwa na viwili?
Habari. Ninahitaji walimu katika masomo hapa chini: BIOL/CHEM (1) HIST/CIV/GS (2) B/KEEPING(1) ECONOMICS(1) KISW(1) ENG(2) PHY/MATH (1). Wale wenye uwezo mzuri katika masomo hayo tuwasiliane...
wapenzi wanajamii na wanazuoni hali ni mbaya sanaaa ktk chuo cha sekomu, hii ni kutokana na chuo kutaka kujiendesha kwa kutegemea makosa ya wanachuo ktk kusajiri course kwa gharama ya asilimia 40...
Jaman walimu wakuu wametiwa biti la maana eti mtoto asipojua kusoma unafukuzwa kazi. Hizi taratibu ni za nchi gan aiseh? Lakini pia wakati mnataka haya kwanza zingatieni sifa za Mwalimu kuwa...
Kuna dhana ya upendeleo katika kugawa boom linapoingia chuoni.
Wateja wengi wa NMB hatutendewi haki na loan officers.
Ni jambo la kushangaza sana pale unaposign boom lako, ukathibitisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.