Remark
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 479
- 931
Leo wakati naangalia kipindi skonga cha EATV nimeshangaa kuona wanafunz wa secondary wakishindwa kujibu maswali ya kawaida tu na mengine hadi ni ya shule ya msingi kwa mfano mtoto wa kidato cha pili hajui Nigeria inapatikana upande gan mwa bara la Africa wakati hilo swali hata mtoto wa darasa la tano anaweza kujibu.
Ni aibu sana kwa level ya mtoto wa kidato cha pili kutokujua kitu kama icho,sasa sijui tatizo ni elimu ndo shida au ni ujinga tu wa uyo dogo lakini hii inatutia aibu sana hasa ukiangalia ni television inayotazamw africa ya mashariki

Last edited by a moderator: