Walimu wa diploma na wakati wa Field

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Nauliza hivi walimu wa diploma in primary Education na wale wa diploma in secondary Education wakitaka kwenda field wanapangiwa shule za kwenda au wanachagua wao shule za kwenda kufanya field??
@walimu naomba mnisaidie hapa
 
Nauliza hivi walimu wa diploma in primary na wale wa diploma in secondary Education wakitaka kwenda field wanapangiwa shule za kwenda au wanachagua wao shule za kwenda kufanya field??
@walimu naomba mnisaidie hapa

Kwa uelewa wangu wanafunzi wenyewe ndio wanaochagua ila tu kigezo cha mazingira shule zilipo hupewa kipaumbele na chuo husika hasa mazingira shule zilipo na ambayo wakufunzi watafika kirahisi kuwa asses. Kwa hiyo kama mwanachuo huwezi kujiamulia tu. Chuo kinaweza kikatoa pia na muongozo wa shule husika halafu mnaweza mkachagua wapi pa kwenda kulingana na matakwa ya chuo.
 
Nauliza hivi walimu wa diploma in primary Education na wale wa diploma in secondary Education wakitaka kwenda field wanapangiwa shule za kwenda au wanachagua wao shule za kwenda kufanya field??
@walimu naomba mnisaidie hapa
TUTAWAPANGIA KWA KWENDA!

NA ATAKAYELETA USUMBUFU ANAKERI KOZi.
 
NDANI YA JIJI HAKUNA TUSIPOFIKA,
HADI MABWEPANDE!

ILA KAMA HATUJAKUPANGIA HUKO NI MPAKA UOMBE KWA MAANDISHi!
 
NDANI YA JIJI HAKUNA TUSIPOFIKA,
HADI MABWEPANDE!

ILA KAMA HATUJAKUPANGIA HUKO NI MPAKA UOMBE KWA MAANDISHi!
Hapo sawa mkuu nmekuelewa sana tu,mi student naenda kleruu so nlitaka nijue zaidi kuhusu kwenda Field
Na sijui field inakuwaga semister ya ngapi kwa wale wanaochukua 3yrs diploma?
 
Hapo sawa mkuu nmekuelewa sana tu,mi student naenda kleruu so nlitaka nijue zaidi kuhusu kwenda Field
Na sijui field inakuwaga semister ya ngapi kwa wale wanaochukua 3yrs diploma?
SEMISTA ZA MWISHO, MWAKA WA KWANZA NA WA PILi.

SASA OLE WAKO TUKUKAMATE UNATONGOZA WANAFUNZi!!!
 
SEMISTA ZA MWISHO, MWAKA WA KWANZA NA WA PILi.

SASA OLE WAKO TUKUKAMATE UNATONGOZA WANAFUNZi!!!
Duh hatuwezi tongoza mkuu sema kunakupitiwa tu,

So class tunasoma tu 1semister kwa kila mwaka,na 1semister ya mwisho wa kila mwaka ndo tunaenda Field au ikoje hapa??
 
Duh hatuwezi tongoza mkuu sema kunakupitiwa tu,

So class tunasoma tu 1semister kwa kila mwaka,na 1semister ya mwisho wa kila mwaka ndo tunaenda Field au ikoje hapa??
NINI??
KUPITIWA??
KAPITIWE TU,
TUKUKAMATE TUKUNYOOSHE!

MNASOMA SEMISTA ZOTE MBILI KWA MWAKA,

ILA MWISHONI MWA SEMISTa YA PILI MNAENDA KWENYE MAFUNZO YA VITENDO YA UFUNDUSHAJI (TEACHING PRACTICE) KWA WIKI 6 AU 8.
 
Okay,kila semester inakuwa ni mda gani?na huwa tunaunganisha semister zote 2 kwa pamoja au kuna mapumzko kla baada ya semester kuisha?
 
Back
Top Bottom