NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2015, wamefaulu mtihani huo.

Ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia, Kiingereza, Fizikia, Biolojia, Hisabati, 'Book Keeping' ikilinganishwa na 2014.

Necta yasema ufaulu katika masomo ya Kiswahili, 'Commerce' na Kemia umepanda ikilinganishwa na ufaulu wa masomo hayo mwaka 2014.

Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009

Kupata Matokeo ya Wanafunzi wote, bonyeza HAPA
 
Back
Top Bottom