Habari. Ninahitaji walimu katika masomo hapa chini: BIOL/CHEM (1) HIST/CIV/GS (2) B/KEEPING(1) ECONOMICS(1) KISW(1) ENG(2) PHY/MATH (1). Wale wenye uwezo mzuri katika masomo hayo tuwasiliane haraka. Shule ipo manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera. Naitaji walimu watakao tulia na kufanya kazi. Wanaosubiri ajira za serikali msinitafute. Tuwasiliane kupitia 0769 499 084. Karibu.