PASCHAL'S SON
Member
- Oct 27, 2015
- 29
- 3
Kuna dhana ya upendeleo katika kugawa boom linapoingia chuoni.
Wateja wengi wa NMB hatutendewi haki na loan officers.
Ni jambo la kushangaza sana pale unaposign boom lako, ukathibitisha kwa macho yako kuwa pesa zinafanyiwa mchakato wa kutumwa kwa njia ya mtandao na loan officer kwenda bank. Unamuuliza loan officer, 'umeshatuma?' anakujibu, tayari!
Ukifika bank wanasema hakuna pesa yoyote! Ukifafanua source iliyotuma pesa, manager anasema iko sensitive mno na kama kweli ametuma, ni lazima kuwe na taarifa kutoka makao makuu ambazo huandaliwa muda mfupi baada ya pesa kutumwa makao makuu.
Hapa ndo penye mashaka kidogo! Je, maofisa wetu ni waminifu kwetu? Wanatujali?
Kwa loan officers wenye tabia hizo naomba muwe na utu.