Kuna ndugu yangu kachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari pugu A-level.
Tatizo mpaka leo hatujapata fomu ya joining instruction!
Nimejaribu kufuatilia fomu hizo katika ofisi ya afisa elimu mkoa! Nikaambiwa hizo fomu huwa zinatumwa posta! Lakini mpaka hivi sasa hakuna fomu niliyoikuta katika sanduku langu la barua!
Naomba msaada kwa wanajamvi niwezekupata fomu au hata namba ya simu ya kuweza kuwasiliana na uongozi wa shule!
EID MUBARAK