Anaweza kusomea Ualimu?

kifedewa

Member
Jan 13, 2016
8
1
Naombeni ushauri nilimaliza elimu ya kidato 2012 na kupata iv 28 kwa kupata d7 kati ya masomo tisa ambayo ni book keeping, commerce, history, kiswahili, civis, biology, geograph.

Je naweza somea ualimu? Ama kilimo ?:cool:;)
 
Last edited:
Huwezi kusoma ualimu Mkuu hapo labda it au mambo ya biashara certificate
 
LABDA KASOME MAMBO YA PROCUREMENT, UHASIBU NA JOURNALISM... VYUO VIPO VINGI MITAA YA KARIAKOO NA ILALA.
 
Naombeni ushauri nilimaliza elimu ya kidato 2012 na kupata iv 28 kwa kupata d7 kati ya masomo tisa ambayo ni book keeping, commerce, history, kiswahili, civis, biology, geograph.

Je naweza somea ualimu? Ama kilimo ?:cool:;)

Nitafarijika sana iwapo itatokea siku moja akatokea kiongozi makini ktk nchi hii atakae ithamini kazi ya ualimu.
Atakae zifanya kada za ualimu, kilimo, udaktari, nk. kama kazi za watu wenye weledi wa kutosha, waliofaulu vizuri ktk masomo yao, na watakaolipwa mishahara minono na watakao kuwa tija kwa mustakabari wa elimu ya Tanzania ili kuondoa dhana iliyojengeka kwa watu wachache ya kuwa ualimu ni kati ya fani zinazowahusu wale ambao hawakufanya vizuri ktk masomo yao.
Jaribu fani nyingine ndugu, huu ualimu ni mzuri sana kwa wale wenye wito na waliofaulu vizuri masomo yao kwa hiyo inakua ni rahisi kumfundisha mtoto na akaelewa vyema. Na kama unajihisi una wito wa hizo fani, rudia mtihani na uwaonyeshe necta ya kuwa unaweza na utakuja kuisaidia sana nchi yako kupiga hatua kimaendeleo.
 
Naombeni ushauri nilimaliza elimu ya kidato 2012 na kupata iv 28 kwa kupata d7 kati ya masomo tisa ambayo ni book keeping, commerce, history, kiswahili, civis, biology, geograph.

Je naweza somea ualimu? Ama kilimo ?:cool:;)
Ukiweza mpeleke ufundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom