Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau naombeni mnijuze juu ya fani hiyo.Ni vipi mtu anaweza kuajiriwa/kujiajiri kwa taaluma hiyo?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Samahani wana jukwaa tanzania kuna chuo ambacho kinatoa elimu kwa kiwango cha phd tanzania? NA KAMA VIPO NI VYUO VP?
0 Reactions
70 Replies
13K Views
Primary schools operating boarding sections have three years to phase it out as the government has moved to have all pupils in the country as day scholars. Cabinet approved the decision that...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mwalimu mzuri wa physics, chemistry, biology na hesabu awe mkoa wa Arusha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anaetaka tuition ya advanced na basic mathematics popote ulipo jijini dar es salaam.... Bei maelewano 0674358557
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Kwa wale wanaotaka tuition ya basic na advanced mathematics.... Unafatwa mpk ulipo bei maelewano.... My career is telecommunications engineering student at udsm
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wapendwa naomba mnisaidie, Nilipewa mkopo na Bodi nikaacha masomo sababu sikumudu gharama kutokana na kupewa mkopo mdogo. Nilpotaka kuomba tena nikasikia tetesi inatakiwa nirudishe 25 percent...
1 Reactions
85 Replies
16K Views
Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UTARATIBU WA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA Imetolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 1. Mamlaka za Uhamisho Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na 8. ya mwaka...
0 Reactions
5 Replies
16K Views
Mimi n mhitimu wa chuo kikuu Dar es Salaam(UDSM), pia mfanyakazi wa Serikali, tangu nihitimu 2013 nilikuwa bado sijapata Cheti changu, kulingana na taratibu za ajira cheti kinahitajika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba kujua kama private candidates wanapata mkopo kutoka Heslb wakitaka kujiunga na elimu ya juu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji maswali mbalimbali ya advance ya geog, pure maths, economics ya paper 1, Mimi nasoma EGM.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Je ni kweli kuwa Waziri wa Elimu amehoji madaraja ya ufaulu?..kama ni kweli afadhali mana yale madaraja hayako sawa kabisa..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ni wadau wa jukwaa hili. Mimi ni mwajiliwa katika shule ya sekondari serikalini, nafundisha somo la English. (Nina degree ya Education) Nimekua na mawazo ya kubadilisha fani kutoka ualimu...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Dahh naombeni msaada ndugu zanguni, Actually mimi ni mwanafunzi wa form 5 PCM (Milambo Men High School) In short ni kwamba kila nikigusa kitu hakiendi mpaka nahisi kuchanganyikiwa maana kumbuka...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Naomba kuuliza kwa wanasheria ama yeyote mwenye upeo nalo. How are the sources of law connected to business law in Tanzania ??
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Salaam wadau wa elimu Swali langu hivi kuna tofauti hipi kati ya cbg na pcb kwa upande wa usomaji wake,fani utakazosomea chuo na ipi bora zaidi ya mwenzie Naombeni mnishauri wadau wa elimu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Hii course ipo kwa vyuo vya ualimu kama monduli,kleruu,korogwe etc wanahitaji principlar mbili 2 za advance...naomba kujua hii kozi ni ya 2yrs au 3yrs??? Maana chuoni wanasema 3yrs na nacte...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kumbikumbi uwa wanakuwa wapi wakati wa kipindi kisicho cha mvua? Maana wanaonekana mvua inaponyesha na isipokuwepo hawaonekani. Napenda kufahamu.
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Naomba kujua vigezo vinavyoitajika kwa mtu anayeanza kuwa mwanaChama wa Maktaba mpaka kuomba/kuazima vitabu kwa mwanafunzi,mfanyakazi etc Msaada wenu wanaJF
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom