Wadau wa Elimu hapa itatumika Division au GPA

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,080
6,913
Habari Jf. Uongozi wa Necta umetoa mabadiliko ya alama za ufaulu kielimu kidato cha Nne na cha Sita leo Jumanne ya tar 29.12.2015 kiwe kama ifuatavyo:
A:75_100%,
B:65_74%,
C:55_64%,
D:45_54%,
E:35_44%,
S:25_34%,
F:0_24%.
Agizo hilo limetolewa na waziri mpya wa elimu:
PROF JOYCE NDALICHAKO.
 
Pia, angerudisha division kama ilivyokuwa awali...
 
Last edited:

Tunaharibu Jukwaa hili kwa kuwa wazushi! Kwenye website ya NECTA kuna tangazo linalokanusha taarifa za mabadiliko haya kuwa ni za UONGO na zimetolewa na watu kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kuzusha taharuki na kupotosha jamii ya watanzania. Baraza la Mitihani limewataka watahiniwa wote na watanzania kwa ujumla kuzipuuza taarifa hizi kwa kuwa hakuna mabadiliko yeyote yaliyofanywa katika mfumo wa kutunuku matokeo unaotumika sasa.

Sasa jambo la kujiuliza mwanajukwaa mwenzetu ulitoa wapi taarifa hizi? Tuheshimu Jukwaa hili.
 
Pia, angerudisha division kama ilivyokuwa awali...

Mfumo wa matokeo ya K4 na K6 unapaswa kuwa wa GPA ili kuendana na mifumo ya NACTE na TCU ya udahili yenye mifumo ya GPA Kuwezesha udahili wa watahiniwa kujiunga na elimu ya juu kufanywa na mifumo ya Kompyuta unaowarahisishia watahiniwa kuomba kujiunga na vyuo vya Kati na elimu ya juu kwa simu au kupitia internet. Hivyo, nashauri upende mabadiliko ya kimaendeleo badala ya kurudisha mifumo ya kale ambapo watahiniwa watalazimika kutuma maombi ya vyuo kwa kujaza formula tena (manual paper work) kwa kuwa mifumo ya udahili na ile ya matokeo itakuwa inatofautiana. Tumepiga hatua na tusirudi nyuma kamwe.
 
Habari Jf. Uongozi wa Necta umetoa mabadiliko ya alama za ufaulu kielimu kidato cha Nne na cha Sita leo Jumanne ya tar 29.12.2015 kiwe kama ifuatavyo:
A:75_100%,
B:65_74%,
C:55_64%,
D:45_54%,
E:35_44%,
S:25_34%,
F:0_24%.
Agizo hilo limetolewa na waziri mpya wa elimu:
PROF JOYCE NDALICHAKO.
Haiwezkan
 
Mfumo wa matokeo ya K4 na K6 unapaswa kuwa wa GPA ili kuendana na mifumo ya NACTE na TCU ya udahili yenye mifumo ya GPA Kuwezesha udahili wa watahiniwa kujiunga na elimu ya juu kufanywa na mifumo ya Kompyuta unaowarahisishia watahiniwa kuomba kujiunga na vyuo vya Kati na elimu ya juu kwa simu au kupitia internet. Hivyo, nashauri upende mabadiliko ya kimaendeleo badala ya kurudisha mifumo ya kale ambapo watahiniwa watalazimika kutuma maombi ya vyuo kwa kujaza formula tena (manual paper work) kwa kuwa mifumo ya udahili na ile ya matokeo itakuwa inatofautiana. Tumepiga hatua na tusirudi nyuma kamwe.
Safi wazo zuri kijana
 
mfumo wa gpa ndo mfumo uchwara kabisaaa hasa kwa elimu ya sekondari,hizo ni politics!mwanafunzi anapata d flat unaambiwa ni pass! wakati kiuhalisia hyo ni div four ya 28!....vipi div 4 ya point 28 nao wana deserve advance level??.....me naamini mfumo wa div urejeshwe ili elimu ikaw sawa tujue failures ni akina nan ! pia grading system ya zamani ,namaanisha ya 1990's .elimu imeshuka sana ubora , div two ya mwisho 2,points 21 ya enzi zile eti leo ndo distinction yaani div one! shame upon them!
 
Huu mfumo wa GPA ni kutiana moyo na kuchanganyana tu division four nayo inaitwa pass, warudishe mfumo wa division na pass marks zibaki zile za zamani
 
Nawauliza nnchi gani iliyoendelea inatumia division jibu hamna mmetumbua macho tu ,GPA ndo habari ya Mjini nyie wa Wapi ?mnaoshabikia division cha msingi waziri wa elimu watu mikopo yetu ya chuo ilienda vyuo vingi tunalala njaaa wewe unafatilia division ,watu hawana mikopo elimu ya juu wewe division Prof wangu nakuomba bodi ya mikopo mpaka sasa hawajaleta mikopo yetu vyuoni kwa wale walioipeleka sehem nyingine kwa uzembe wao nakuomba ufatilie mkuuu wangu na mungu akubariki chapa kazi Prof hapa kazi tu.
 
Wewe una shida zako za mkopo, sie wengine sio wahusika wa hiyo mikopo hujui hata sehemu muafaka ya kuadress ishu yako wasomi wengine bana
 
Back
Top Bottom