Msaada kuhusu Chuo cha Diplomasia

nsharighe

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
1,441
2,218
Amani iwe daima nanyi..
Naomba mwenye uelewa kuhusu hiki Chuo cha diplomasia, join instruction na aina ya kozi wanazotoa pamoja na muda wa kozi na ada zao.

Nawasilisha.
 
Kwa level gan ya elimu unataka, kuna post graduate, degree, diploma na certificate
 
Cert na dip kipind mimi nasoma ilikuwa ni kozi moja tu ya international relations and diplomacy, kuhusu ada sina figures sahihi.
Nakushauri ukawatembelee hapo kurasin utapata ufafanuzi sahihi zaid.
Nb. Dressing code ni muhimu ukiwa unaingia pale, usithubutu kwenda umevaa kihuni, hutoingia
 
vp kuhusu undergraduate? vigezo vyao? masomo yao?
 
Cert na dip kipind mimi nasoma ilikuwa ni kozi moja tu ya international relations and diplomacy, kuhusu ada sina figures sahihi.
Nakushauri ukawatembelee hapo kurasin utapata ufafanuzi sahihi zaid.
Nb. Dressing code ni muhimu ukiwa unaingia pale, usithubutu kwenda umevaa kihuni, hutoingia

Qualification je!?
 
Back
Top Bottom