balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,690
- 13,578
Jaman walimu wakuu wametiwa biti la maana eti mtoto asipojua kusoma unafukuzwa kazi. Hizi taratibu ni za nchi gan aiseh? Lakini pia wakati mnataka haya kwanza zingatieni sifa za Mwalimu kuwa Mwalimu Mkuu mtawaonea wengine bure Pili muwape responsibility allowance kama ilivyojulikana awali bila kuwasahau walimu husika Wa madarasa hayo na walimu kwa ujumla