Kumeza ndo kila kitu,then anatomy ina mnemonics nyingi sana zitumie kumeza eg; kumeza functions za cranial nerves from 1-12 some says mary money but my brother says big breast matters most
S=sensory
M=motor
B=both[/color]
Sio ngum sana, Anatomy kama ulipita vizuri Advance haibani sana. Unatakiwa kila unachosoma ujue kipo wapi mwilini tena siku hizi kuna you tube plus mamidoli kibao tu. Shughuli kidogo parasitology.. Akina trichomonas vaginallis... Huko utatakiwa kunywa tu mkuu
...your mind can do anything you tell it to do, ukisema anatomy ni shida then itakuwa ni shida.
Start by saying ukofascinated na zile foramina na foramen zote then utapata nguvu ya kujifunza
contents zake, then ujifunze kazi ya hizo contents, in a fun way and appreciating uumbaji wa mungu
in doing so. Hapo believe me, utaona somo ni jepesi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.