Nafasi za kujiunga Form One-WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL - KIBAHA

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL - KIBAHA

WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016. Westgate Girls High school ipo kibaha misugusugu mbele kidogo ya Kongowe. Shule inaendelea kupokea maombi ya kujiunga na form one,Interview za kujiunga zinaendelea kufanyika shuleni, Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa shule kwa nambari 0757291698 au 0658075061 au 0785977488.

Mnakaribishwa wote WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL,
 
Back
Top Bottom