Masada, haya matokeo ya mtihani wa mwanangu sijayaelewa!

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
998
409
JAMANI naomba mnisaidie jambo hapo maana haya matokeo yanavyotangazwa na hizo alama wanaziweka hata sizielewi kwa wafahamu wa mambo mwanangu amefanya mitihani ya kidato cha pili amepata alama hizi:B, D, C, E, B, Bplas, E, B , Bplas , E, D, C, D. 3. 0 MERIT je atakuwa na division ngapi?
 
Hiyo ni kama divisheni two. Dinstinction ni one, credit ni kama three na pass ni kama four. Mpe zawadi kama ni kijana wako! amejitahidi kiasi chake.
 
Back
Top Bottom