Shule mzuri ya boarding O-level

Shule mzuri ya boarding O-level

ntilavano

Senior Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
136
Reaction score
31
Habari za asubuh waungwana natumain ni wazima.

Shida yangu ni kupata shule mzuri kwa ajili ya mdogo wangu(kike) iwe private ambayo itakuwa na elimu mzuri ikiwa ya Girls na ipo mikoani itakuwa vizuri zaidi. Mdogo wangu ameanza form two mwaka huu ila nataka kumrudisha form one kwa hiyo nilikuwa naomba na ushauri namna ya kufanya pia ada yake isiyozidi million 1.5(million moja na laki tano).

Shukrani kwa wadau mbalimbali wa elimu.
 
Pia kuna hizi shule za Jeshi kuna Makongo,Jitegemee na Kawawa vipi nazo kitaaluma ipi mzuri kwa kumpeleka mtoto?
 
WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL - KIBAHA

WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016. Westgate Girls High school ipo kibaha misugusugu mbele kidogo ya Kongowe. Shule inaendelea kupokea maombi ya kujiunga na form one,Interview za kujiunga zinafanyika shuleni, Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa shule kwa nambari 0757291698 au 0658075061 au 0785977488.

Mnakaribishwa wote WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL, KIBAHA
 
Back
Top Bottom