sura mbaya
Member
- Mar 5, 2013
- 85
- 13
Wakuu hii kitu inaniuma sana kuna lecturer wa economic IFM ana mfelisha mke wangu kisa anang'ang'ania avuliwe chupi. Ivi kwann hawa jamaa wanakua chanzo cha kuwaharibia maisha watu?. Naomba kwasilisha kwenu ni jinsi gani mke wangu ataweza kumuepuka huyo pepo.