EDEN HILLS COLLEGE YAJITOLEA KUSOMESAHA 32 KIBAHA

Gideerast

Member
Jun 27, 2015
56
3
Chuo cha Edewn Hills College,kilichopo KIBAHA mkoani Pwani, kimejitole kusomesha watu 32 wawili katoka kila kata iliyopo wilayani Kibaha Vijijini. Wilaya ya KIBAHA Vijijini inajumla ya katab14, huku kata ya Mlandizi ikipatiwa nafasi 4, na mbunge wa KIBAHA Vijijini akipatiwa 2.
Hayo yalibainika katika where he za mahafali ya 3,iliyo fanyika chuoni hapo na kuhudhuriwa na mbunge na baadhi ya madiwani wa kata hizo.

Nafasi hizo no kwa Jamii na so kwa viongozi,tunaamini kupitia kwao nafasi hizo zitagawanywa kwa haki bila ubaguzi wowote
 
Back
Top Bottom