Ndugu wanajamvi ninamasikitiko makubwa Mimi nilichaguliwa kwingine mkopo wangu ukaenda chuo kingine inaniuma sisi Mimi tu hili tatizo nilawanafunzi wengi wa mwaka wa kwanza .Kikubwa kinachoniumiza ni kuwa bodi iliahidi ndani ya siku 60 itakuwa imemaliza tatizo hilo wiki lililopita yalikuja majina vyuoni yakitutaka tuandike Reg No pamoja na Account No Loan officer wa chuo ameviwakilisha bodi ya mikopo .Maswali ninayojiuliza bodi hiii ya mikopo ndani ya siku sitini kwa nini is ilete tusaini mikopo yetu inataka Reg No pamoja na Account?Ilihali utarabu ni kuwa karatasi ya majina huja kutoka bodi ikiwataka wanafunzi waandike Account zao pamoja na uwekaji saini .Nakuomba waziri wa elimu prof ndalichako utusaidie juu ya hili tunalala njaa tunanyanyasika Mimi mpaka vipindi nashindwa huzuria kwa kukosa nauli inaniuma sana .Toka tufungue chuo Mimi mkopo wangu umeenda chuo kwingine tokea nafungua chuo nalala njaaaaa inaniuma sana .;?Prof ndalichako nakuomba utusaidie njaaa itatuua.