KWA HILI CHUO KIKUU ARDHI HAMJAWATENDEA HAKI WANAFUNZI

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
2,292
795
Mlitoa tangazo kwamba mnatoa muda wa siku tano kwamba kuanzia tarehe 11 mpaka tarehe 15 wanafunz wote ambao hawajakamilisha usajiri wawe wamefanya hivyo.
muitikio ulikuwa mkubwa idadi kubwa ya wanafunzi walifanikiwa kusajiriwa

ajabu mi kwamba leo malipo ya awamu ya pili ya pesa za kujikimu yani BOOM yamefika, lakini kwa wanafunzi waliosajiliwa kipindi hiki wengi hawajapata fedha hizo

nimeshuhudia idadi kubwa ya wanafunzi wakilaani kitendo hicho cha kibaguzi wakiwa wamejawa na sura zenye majonzi, mmesababisha usumbufu mkubwa kwani idadi kubwa ya watoto hawa wa wakulima wametumia nauli zao kwenda benki kutoa hela kwa ajili ya kulipa kodi ya nyumba na kuambulia patupu

mimi kama mzazi nalaani sana kitendo hiki cha kibaguzi na kionevu kwanini kuwasumbua vijana hivi yamkini mkijua hamuwapi pesa zao? mmeshindwa hata kutoa taarifa fupi? naomba mamlaka zinazohusika mlishughulikie hili kabla halijafika kwa magufuli
 
Utaratibu wa bodi bado hauja kaa sawa. nadhani mambo yamkuwa mengi baada ya amri ilio tolewa na Mh. Rais JP Magufuli, yakuwa kila mwanafunzi apate mkopo. walio appeal ni wengi hivyo wote kuingia kwenye mfumo ita chukua muda kidogo.
Na sio vyuo vyote visha pokea boom la awamu ya pili hadi sasa
Pole sana ndugu
Natumaini mambo yatakaa sawa tuvute subira.
 
Asante mkuu swala hapa kwanini wanafunz wengn wapew wengn wanyinwe hali ihali wanapaswa wote wapokee kw wakati mmoja
 
Back
Top Bottom