HESLB yatoa Tsh 459/-bilioni kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa jumla ya Tshs 459/- bilioni kama mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi 122,486 wanasoma katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi katika mwaka wa masomo 2015/2016.

Hii ni idadi kubwa zaidi ya wanufaika na fedha kuwahi kutolewa tangu kuanzishwa kwa Bodi mwezi Julai, 2005 na kwa ujumla, katika historia ya utoaji wa mikopo nchini. Fedha hizi zimetolewa kati ya mwezi Novemba, 2015 na Januari 10, 2016.

Katika mwaka uliopita wa masomo, 2014/2015, Serikali kupitia Bodi ilitoa jumla ya Tshs 341/- bilioni zilizowanufaisha wanafunzi 99,069.

Kati ya fedha zilizotolewa, jumla ya Tshs 199.7 bilioni zinakwenda kwa wanafunzi 53,537 waliojiunga na masomo kwa mwaka wa kwanza mwezi Novemba, 2015 katika vyuo mbalimbali na Tshs Tshs 259.1 bilioni zinalipwa kwa wanafunzi 68,916 wanaoendelea na masomo, yaani mwaka wa pili, wa tatu na kuendelea katika vyuo vya umma na binafsi.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam leo (Jumatano, Januari 13, 2016), kundi kubwa katika ya wanafunzi waliopata mikopo ni wale wanaosoma programu za kipaumbele ambazo zimetajwa katika mwongozo (Guidelines) uliotolewa na Bodi mwezi Mei mwaka jana, 2015.

Programu hizo ni Udaktari wa Binadamu, Udaktari wa Meno, Udaktari wa Wanyama, Ufamasia na Uuguzi na Ualimu wa Masomo ya Sayansi na Hesabu na Uhandisi wa Umwagiliaji. Wanufaika wengine ni yatima na walemavu.

Katika hatua nyingine, Bodi ya Mikopo inatoa wito kwa waajiri katika taasisi za umma na binafsi nchini kuhakikisha wanazingatia matakwa ya sheria iliyoanzisha Bodi inayowataka kuwatambua waajiriwa wao ambao ni wanufaika wa mikopo inayotolewa na Bodi; kukata sehemu ya mishahara yao na kuwasilisha kwa bodi kama marejesho.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Bodi, Kifungu cha 20 (1) (c) cha sheria ya iliyoanzisha Bodi (Higher Education Students’ Loans Board Act (as amended)), kinawataka waajiri kuwatambua waajiriwa, kuijulisha Bodi kwa maandishi ndani siku 28 tangu wapate ajira.

Aidha, Kifungu cha 20 (2) cha sheria hiyo, kinawataka waajiri, baada ya Bodi kuthibitisha kuwa muajiriwa ni mnufaika wa mikopo ya Bodi, (mwajiri) kuitaarifu kuitaarifu Bodi, ndani ya siku 30 za ajira yake na kukata makato kutoka katika mshahara wa mwajiriwa na kuyawasilisha Bodi ndani ya siku 15 baada ya kila mwisho wa mwezi.

Taarifa hiyo imesisitiza kuwa waajiri wote wanapaswa kutimiza matakwa hayo ya kisheria na kuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameanza kukagua taaasisi za umma kama zinazingatia matakwa haya ya kisheria.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 9 ya mwaka 2004 na kuanza kazi rasmi mwezi Julai, 2005. Bodi ina majukumu kadhaa, lakini mawili makubwa ni kutoa mikopo kwa wanafunzi watanzania wahitaji; na kusimamia urejeshaji wa mikopo kutoka kwa wanufaika wa mikopo.

CHANZO: ITV
 
Mbona kuna mwanangu yupo anasoma Udom hajapata mkopo mpaka leo hii ninavyoandika hapa?? Au hii mikopo ni viini macho kwa kuandika tarakimu nyingi zilizotoka kumbe kuwafikia walengwa taabu?? wenzake wamepata ila yeye na baadhi ya wanafunzi wenzie mpaka leo hii pesa hiyo hawajaiona wanapigwa kalenda tu na wahusika wa hapo chuoni
 
Tatizo kubwa la bodi yetu ya mikopo tangu ilipoanzishwa ni kushindwa kuwabaini wanufaika wote waliokopeshwa na ambao tayari wameajiriwa lakini hawakatwi kwa mujibu wa sheria.
Ukichukulia tu mfano wa sekta moja tu ya elimu hasa kwa upande wa sekondari, wapo walimu wameajiriwa na serikali wanakatwa madeni yao kila mwezi huku wengine hawakatwi na hakuna sababu ya msingi huku mwajiri wao ni mmoja.

Nashauri wafungue ofisi zao walau hata ngazi ya mkoa badala ya kujifungia kwenye ghorofa kule Dar wakisubiri wadai wao kujisalimisha. Ni aibu kuona wadogo zetu wana sifa ya kupata mikopo ya masomo yao ya shahada vyuo vikuu wakikosa fursa hiyo huku bodi ikiwa imelala na kushindwa kusimamia urejeshwaji wa mikopo kutoka kwa wanufaika na kuendelea kutegemea ruzuku toka serikalini.
Au wanasubiri kugeuzwa kuwa jipu? shame on you!!
 
Au wanasubiri kugeuzwa kuwa jipu? shame on you!! Badilikeni na muache kufanya kazi kwa mazoea! maneno na mikwara mingiii! utekelezaji sifuri!
 
tuliofanya transfer ndo awatuthamin kabisa,, naenda maranyng pale heslb kila mmoja ananijibu tofaut na kwa kukatsha tamaa nataman nirud tu nyumban,,,c rahs kujua naishje lakn kama ww ni mwamin niombee sana,,
 
Wanajibu nini mkuu!?
 
dah! wengne walisema baada ya cku60 wengne90 ukiulza zaid wanaxema kama utak airisha mwaka wakanipa na planepaper niandke barua,ukiulza mlianzia lin kuesabu dah acha tu ndg yangu maisha ya chuo kama ndo iv,,,
 
tuliofanya transfer ndo awatuthamin kabisa,, naenda maranyng pale heslb kila mmoja ananijibu tofaut na kwa kukatsha tamaa nataman nirud tu nyumban,,,c rahs kujua naishje lakn kama ww ni mwamin niombee sana,,
Mara nyingi fedha za transfer huja mwanzoni mwa semester ya pili na huambatana na za waliofanikiwa appeal. Usikate tamaa.
 
Mbona kuna mwanangu yupo anasoma Udom hajapata mkopo mpaka leo hii ninavyoandika hapa?? Au hii mikopo ni viini macho kwa kuandika tarakimu nyingi zilizotoka kumbe kuwafikia walengwa taabu?? wenzake wamepata ila yeye na baadhi ya wanafunzi wenzie mpaka leo hii pesa hiyo hawajaiona wanapigwa kalenda tu na wahusika wa hapo chuoni
MIMI NI CONTINUING STUDENT NILIKOSA,NIMEAPPEAL NASUBIRI MAJIBU YATOKE!
 
Hizi habari mim atasizielewi, mim nipo UDOM tupo wanafunzi wengi atujapata boom lakwaza wala lapili
 
Back
Top Bottom