List ya Shule za Secondary zilizopo wiLaya ya MUHEZA (government etc schools)

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba kujua shule zilizopo katika wilaya ya Muheza mjini hasa zilizo za government
Thanks.
 
Tafuta namba za simu za ofisi ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Muheza na utapata shule zote unazohitaji, waeleze shida yako
 
Back
Top Bottom