Msaada tutani

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu nimeshafanya usajili nacte sasa wakati na apply diploma nkaingiza qualifications za ngazi ya cheti wakazikubali but wamedai ni upload scanned original in pdf not exceeding 2mb sasa apa si na scan na kupload picha ya io scanned certificate au?
 
Back
Top Bottom