alexis jr
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 393
- 343
Wakuu habari kuna suala ningependa kujua kuhusu tutorial assistance kwa mf udsm huchukua watu wanakua tutors n then wanasomea masters hapohapo kwa sponsor ya chuo vp masters usipopata gpa ya 4.0 na pia nasikia if ulisomea hapohapo ukapata first class chuo kinakusomesha nje uje kua lecturer nakaribisha ufafanuz wenu