Vyuo vya afya vinavyokubali Biology-C, Chemistry-D na physics-F

Aurelio_CSM

Member
Oct 14, 2014
57
22
Habarini saa hii wadau, napenda kufahamishwa vyuo vya afya vinavyopokea ufaulu huo hapo juu. Course ziwe clinical medicine na pharmacy au course yoyote yenye opportunity kubwa ya kuajiriwa serikalini. Asanteni
 
Pitia website ya nacte majibu yote yako hapo
Hizo Ni credit za O Au A level? Masomo mengine je? Je kozi ngapi ipi diploma Au cheti? Maswali Ni mengi kwakua hujaweka Sawa maelezo yako
 
Pitia website ya nacte majibu yote yako hapo
Hizo Ni credit za O Au A level? Masomo mengine je? Je kozi ngapi ipi diploma Au cheti? Maswali Ni mengi kwakua hujaweka Sawa maelezo yako
NASUBIRI YAJIBIWE HAYA MASWALI NDIPO NITOE MCHANGO WANGU KWA MTOA MADA.

NA HAKUNA WA KUBISHA!

NIMEMALIZA!
 
Labda community health uje kuwa msafisha vyoo vya hospital
 
Back
Top Bottom