mwenye taarifa na chuo hiki kipya anijuze, kinaanza lini kupokea wanafunzi, kwani mwaka jana kilitangaza nafasi za wafanyakazi, ninaham sana kufungua chuo,kwani ninaamini nitaelimika sawasawa kwa bidii za mwanzo za ma-lecture
mwenye update anijuze
Vp mkuu kime-appear tcu?Wataanza kchukua mwaka huu chek gadealine book ya Tcu ifkapo April
Application zatcu badoVp mkuu kime-appear tcu?