Wadau hapa tokea juzi nangojea mshahara hauingii tu lkn matawi mengine ya CRDB tofauti na sengerema wao wamepata salary zao lkn kwetu mpaka sasa nikitendawili ushauri jamani je naruhusiwa kuhama A/C
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.