Msaada; kwa wanaosoma au wanaovijua vyuo vya Ualimu.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Naomba kujua vyuo vya ualimu ambavyo vipo free kiasi ktk kufundishwa chuoni na wanafunzi hawabanwi sana kuingia Class kwa ajili ya Attendance na mwanafunzi anaweza kuingia class sometime na anaweza kufanya mambo mengine nje ya chuo...
Kwa vyuo vinavyotoa bachelor za education ktk science and arts ndani ya DSM.
 

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,400
2,000
Usiapply mwaka huu subir umalize mishe mishe ndo uapply. Hii kitu ilinicost sana chuo. Maliza mishe mishe kwanza zako then mengine yafuate
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,996
2,000
Vyuo huwa na policy ya attendance. Kwa style ya ufundishaji wetu mwanafunzi anategemewa kuattend class. Ku-skip class kwa wengi haiwasaidii. Hata kama mwalimu hachukui attendance ushauri wangu ni nenda darasani.
Kama unashughuli nyingine ushauri umepewa maliza shughuli zako ndio uende chuo. Kama issue ni kutokupendelea kuingia darasani unaweza kujaribu Open and Distance learning kama za OUT lakini hii inademand discipline ya hali ya juu zaidi kupita conventional education (face to face). Zuri ni kwamba wanakuruhusu kuchukua muda mrefu zaidi (up to 6 years for a 3 year/level program) hivyo unaweza pia ku-attend hiyo mishe mishe yako. Hii ni kama degree uitakayo inapatikana OUT.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom