MSAADA....... Mwaka wa masomo 2016/2017 kilimo/ general agriculture

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,434
Reaction score
4,256
Kutokana na ile taarifa ya nacte kuhusu udahili wa pamoja kwa mwaka wa masomo 2016/2017 vyuo mbalimbali,, kwa kutumia mfumo wa kufanya maombi online,, (CAS) kumekuwa kuna maswali mengi sana kwa wale ambao tumezoea kutuma maombi vyuoni hasa wa wizara ya kilimo,, ningeomba kufahamishwa kwa yeyote anayejua kuhusu hilo je tunatumia mfumo huo ama tusubiri taarifa kutoka wizara ya kilimo
 
k

kwa CAS Mkuu
 
Back
Top Bottom