White Lake Secondary School

White Lake Secondary School

ashley27

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
10
Reaction score
8
Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake
 
shule ipo changanyiken nyuma ya chuokikuu cha Dar es Salaam. ipo karibu na shule ya msingi changanyikeni.. au fata njia ya watu wanaoenda goba kupitia chuo kikuu na utaiona njian maeneo ya changanyikeni.
 
Back
Top Bottom