Igedeboyhunter
Member
- May 10, 2016
- 8
- 1
Habari wadau naaomba msaada tafadhali wa kujua kama ninaweza kusoma bachelor ya law? Kwa kuwa na dploma ya business administration?
Habari wadau naaomba msaada tafadhali wa kujua kama ninaweza kusoma bachelor ya law? Kwa kuwa na dploma ya business administration?
Nakushuru mkuu kwa ushsuri wako mzuriHaina shida Mkuu inawezekana japo itapendeza zaidi kama O au A level ulikuwa na background nzuri ya Masomo ya Arts kama History na Literature. Ila kwakuwa una Diploma ya Bussiness Administration hutopata sana shida na ningekushauri kama utafanya Law basi huko mbele bobea katika ama Tax au Corporate Law utafaidika mno. Kila la kheri Mkuu.