Tafadhali pita hapa kwa ushauri,mawazo,maoni na mchanganuo

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
Habari za muda huu wana JF.
Natumai wote wazima ..Kwa msaada wenu nina mdogo wangu kamaliza mwaka 2014. Amepata credit 2, yeye anataka kujiunga na Account yani uhasibu ana g.p.a ya 0.6.

Je kwa matokeo hayo NACTE wanaweza kukubali, kama akituma maombi?
Ahsante mawazo yenu yote muhimu.
 
Back
Top Bottom