Ndugu wanajanvi habarin,
Naombeni ushauri kwa wale waliofanikisha au kwa ambao mko katika mchakato wa kuhama.
je kuruhusiwa kuhama kwa kubadilishana kwa walimu ni mpaka ukae mda gani katika kituo cha awali au ni vigezo vip vinavyofanya Mwl ku-qualify kwa uhamisho wa kubadilishana?
Haya yamemkuta shemeji yangu ambae ana mwaka 1 kazini na ana cheknamba na TSD lakin bado hajapata barua ya kutibithishwa kazini.