Wajuzi wa hesabu nisaidieni swali hili

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,913
13,232
The rectangle whose perimeter is, 34cm and area is 60 cm sqr. Find the length and width.
Kuna dogo nilikuwa namsovia hili kakosa. Natanguliza shukrani
 
Formula gani umetumia mkuu

Nimelet length na width kuwa x na y
Nijatengeneza milinganyo miwili

2x + 2y = 34
xy =60

Nikaifanya x kwenye equation ya pili kuwa the subject. Then nikasubstitute the value of x kwenye equation one nikapata quadratic equation.Nimesolve nikapata x ikiwa 5 y inakuwa 12 na x ikiwa 12 y inakuwa 5
 
Mkuu nimekuelewa lkn pale kwenye quadratic inakuja negative under root ambapo kwa o level sio saizi yao maswali haya
Ni sawa kwa kusolve quadratic equation unapata negative numbers lkn hakuna negative numbers kwa lenght units, so una assume as positive numbers. Then try to prove;
2(12+5)=34 for perimeter
12x5=60 for area

Na uhakika kuanzia form two na kuendelea anatakiwa ajue kusolve quadratic equations kwa mujibu wa syllabus.
 
Mkuu jibu ni either 12 kwa 5,,au 5 kwa 12,,kumbuka rectangle ya hapo ni ile ya boksi,I mean 4 sided,,lakini kwa levo yake yoyote baina ya hizo ni jibu,,njia imeoneshwa vizuri hapo juu
 
Perimeter of a rectangle = 2(length +width)
34 = 2(L + W)....................(i)
Area of a rectangle = Length * width
60 = L*W................................(ii)
Combine equation (i) and (ii) above to solve simultaneous equation which results into quadratic equation
w^2 - 17w + 60 = 0
solve by factorization method,
factors are -5 and -12,
Endelea sasa mzee
 
Perimeter of a rectangle = 2(length +width)
34 = 2(L + W)....................(i)
Area of a rectangle = Length * width
60 = L*W................................(ii)
Combine equation (i) and (ii) above to solve simultaneous equation which results into quadratic equation
w^2 - 17w + 60 = 0
solve by factorization method,
factors are -5 and -12,
Endelea sasa mzee

Wengine tunajionea mauzauza tu ciz upande huu tulikimbiaga mapema sana
 
Minawaza hela tu aiseeee...
Ngoja nimuite shemeji yako wa zamani apite hapa aokoe jahazi
 
hakuna negative under root hapo mkuu

Let x be length and y be width; then perimeter => 2x+2y= 34 -----(1) and xy=60----(2)

from (1) 2x=34-2y => x=(34/2)-(2y/2) = 17-y, substituting this into equation (2) => (17-y)y=60

=> (17y-y²)=60

=> 17y-y²-60=0. Multiply each side by -1 => y²-17y+60=0 by completing the square you will get => y²-12y-5y+60=0 => y(y-12)-5(y-12) = 0

=> (y-12)(y-5) = 0. For right side result to be 0 either y-12 or y-5 should be equal to 0 so y is either 12 or 5 but in the rectangle, length is longer than width, therefore length is 12cm and width is 5cm.
 
solve by factorization
w^2-17w+60=0
w^2-5w-12w+60=0
w(w-5)-12(w-5)=0
(w-12)(w-5)=0
w-12=0 or w-5=0
w=12 or w=5
but lw=60 nadhani hapo unaweza kumalizia.... quadratic equation nakumbuka ilikuwa topic ya form 2 enzi za 2006
 
Minawaza hela tu aiseeee...
Ngoja nimuite shemeji yako wa zamani apite hapa aokoe jahazi

Hili swali nilikaririshwa niko darasa la 7, nikampelekea ticha wa tuition akachemsha, niakona eti ticha hajui namba.

Baadae sana nimekuja kukutana nazo form 2 ndo nikajua kumbe nilikuwa fala kukimbilia mambo ya mbele.
 
The rectangle whose perimeter is, 34cm and area is 60 cm sqr. Find the length and width.
Kuna dogo nilikuwa namsovia hili kakosa. Natanguliza shukrani
Mi niliogopa umande kwa hiyo bila formula nimepata length 15 na width 2
 
Back
Top Bottom