Msaada wa kuapply bachelor ya IT kupitia NACTE

Msaada wa kuapply bachelor ya IT kupitia NACTE

Joined
May 12, 2016
Posts
9
Reaction score
1
Swali langu, mimi nina diploma ya IT.
Nataka kuapply 2016/2017 Bachelor, mbona NACTE hawajaweka list ya vyuo vyote.

Kwa hiyo hivo visivyowekwa hatuviombi?

Na je naweza nikasoma faculty ya education katika IT?

Tafadhali naombeni msaada wa haya plz.
 
Back
Top Bottom