JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,760
- 10,488
Habari Zenu wana Jukwaa.
Naombeni mnishauri hapa. Ninamdogo wangu amemaliza form six mwaka jana - HKL. Kutokana na mambo mbalimbali hakuweza kuendelea na masomo yake ya juu yaani Chuo.
Sasa tuko hapa tunajaribu kuangalia akasome course gani?
Ameniomba ushauri kama mkubwa wake. Binafsi nimemshauri akasome Sheria-Law. Yeye anataka akasome BA kiswahili.
Je kwa wanaofahamu vizuri.
Akisoma Kiswahili atafanya kazi gani hapa bongo? Naombeni mnisaidie ili nimshauri vizuri.
Asanteni.