Junior chelsea
Member
- Mar 27, 2017
- 6
- 3
Wakuu jana nilikuwa ktk pita pita zangu, ktk kijiji flani ngoro ngoro nikashtushwa na bei ya mahindi ambapo nilijaribu kuulizia bei ya debe moja nikaambiwa ni Tsh 28000.. kwa wastani wa sadolini moja utaona ni Tsh 7000/= wasi wasi wangu ni je? Wananchi wa hali ya chini wataweza kumudu bei hzii?