ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,851
Habari wana JR mimi huwa najiuriza swala moja " nyerere alifunga migodi ya madini enzi zake na kusema tutasubili watanzania wapate elimu juu ya madini haya waje wachimbe wenyewe". je hadi sasa bado wasomi wa elimu juu ya utafiti wa madini(mineral exploration) , wachimbaji(mining) na wachenjuaji wa madini (mineral processing) bado wahajapatikana?. na kama wapo ni kwa nini hatuchimbi wenyewe?. au wasomi wetu kwa ajiri ya kamati za kukagua mankotena ya mchanga wa dhahabu ya wazungu?. nikitafakari wizara ya nishati na madini inakitengo kinaitwa stamiko mbona hatuwasikii wao wanachimba kama kweri Tanzania kunamadini mengi?.
Naombeni msaada wa mawazo maana sielewi hii mantiki ya kuwa watanzania ni matajiri wa madini lakini ni masiki kana kwamba kuna taifa limetukataza kuchimba wenyewe na kwenda kuuza tukapata pesa tukaachana na umasikini huu.