Msaada: Bei ya dhahabu kwa gram

code4494

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
813
1,227
Habari wana JF,

Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri.

Nipo Dsm

Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
 
Tola moja kwa bei ya ijumaa 1030000 inategemea na purity yake iko % ngapi..kwahiyo inaweza kuanzia 78000 kwa gram na kuendelea kikubwa ni purity yake
 
Back
Top Bottom