MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 115
wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau